GET /api/v0.1/hansard/entries/1098874/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1098874,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098874/?format=api",
"text_counter": 316,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kwamboka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 9246,
"legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
"slug": "beatrice-kwamboka-makori"
},
"content": "Ni uchungu kuona yanayoendelea Kaunti ya Laikipia wakati huu wa janga la COVID-19. Shule zimefungwa na sijui watoto wetu wataenda wapi. Kuna wanafunzi wa darasa la Nane na Kidato cha Nne ambao wanatakiwa kufanya mitihani ya kitaifa. Hata hayo madarasa na vidato vingine vina mtihani. Ni uchungu kuona jinsi akina mama wanalia. Ukitazama televisheni wakati wowote wa Habari, mchana na hata usiku, kila mara ni kilio."
}