GET /api/v0.1/hansard/entries/1098909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1098909,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098909/?format=api",
"text_counter": 351,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Hoja ya nidhamu, Bi. Naibu Spika. Ninaelewa jinsi sheria inasema kuhusu Kipengele cha 47(1). Kwa sababu ya huu ukame, Rais ametangaza kuwa hili ni janga kubwa la kitaifa. Ingekuwa vyema iwapo ungenipa dakika tatu ama nne hivi, niunge mkono wito wa Rais na pia nimuunge mkono ndugu yangu ambaye amesema janga hili limemfikia kila mtu. Hata mimi janga hili limenifika."
}