GET /api/v0.1/hansard/entries/1098917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1098917,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098917/?format=api",
    "text_counter": 359,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, janga hili limeathiri sana watoto wa shule kwa sababu shule nyingi zimelazimika kufungwa. Tarabitu za shule hazifuatwi kamwe. Wanaopoteza ni watoto ambao shule zao zimefungwa kutokana na janga la njaa. Nahimiza Rais Kenyatta amrishe maafisa wote wanaohusika na mambo ya ugatuzi waaande mashinani iliwajionee hali ilivyo. Ningependa kuona Wizara ya Ugatuzi na Mipango ikijihusisha vilivyo na yote yanayoendelea katika eneo zilizoathirika na janga la njaa. Kaunti zilizoathirika na janga la njaa ni kama Kitui, Kifili na zingine mingi."
}