GET /api/v0.1/hansard/entries/1098919/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1098919,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098919/?format=api",
"text_counter": 361,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ningependa kuona wizara hiyo ikifanya kazi kwa sababu imekuwa ikizembea wakati mwingi. Wizara hizo lazima ziende katika kaunti zilizoathirika na kuonyesha utaalamu wao. Hatutaki maafisa wanaohusika kukaa tu katika ofisi zao hapa Nairobi."
}