GET /api/v0.1/hansard/entries/1099097/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1099097,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1099097/?format=api",
"text_counter": 98,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omanga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13175,
"legal_name": "Millicent Omanga",
"slug": "millicent-omanga"
},
"content": "kwamba hata wewe ulimfahamu na alikuwa rafiki yako. Hii inamaanisha kwamba alikuwa rafiki wa kila mtu. Hakuwa anabagua kama wewe ni mkubwa, mdogo, tajiri, maskini, kike au kiume. Kwa hivyo, ni uzuni sana kumpoteza kijana mdogo aliyetoka kwenye jamii yenye watu wachache. Tunaomba kwamba mtu atakeye chukua nafasi yake atoke kwenye jamii yake ya Ogiek. Tunasema asafiri salama, sote tuko njiani."
}