GET /api/v0.1/hansard/entries/1099148/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1099148,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1099148/?format=api",
"text_counter": 149,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw, Spika wa Muda, ombi langu ni kwamba haki itendeke kwa kila mtu kuanzia upande wa Nandi, na kwa Wamasai wanoishi kule, wakiongozwa na Sen. Olekina. Katika eneo lolote ambalo liko na maskwota Serikali ichukue jukumu ili wanaoishi pale wapate eneo hilo."
}