GET /api/v0.1/hansard/entries/109917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 109917,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/109917/?format=api",
    "text_counter": 251,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Shaban",
    "speaker_title": "The Minister of State for Special Programmes",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": " Bw. Spika, kwa heshima yako, ni kweli kuwa janga la mafuriko linaleta maafa ya kifo. Kifo ni kifo hakijalishi kinakuja namna gani. Ningeomba nipatiwe hizi siku chache ndiyo niweze kutoa Taarifa Kamili kwa sababu shughuli zinaendelea. Serikali haijalala inaendelea kufanya kazi."
}