GET /api/v0.1/hansard/entries/109922/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 109922,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/109922/?format=api",
    "text_counter": 256,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ethuro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 158,
        "legal_name": "Ekwee David Ethuro",
        "slug": "ekwee-ethuro"
    },
    "content": "Kwa hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Ninakubaliana nawe kwamba hayo mafuriko yamekuwa kwa wiki mbili. Ukiongeza wiki moja itakuwa ni wiki tatu. Ningeomba sana kwa heshima yako na heshima ya watu wa Kenya na hasa Waturukana, Waziri atoe Taarifa hiyo Alhamisi wiki hii."
}