GET /api/v0.1/hansard/entries/1099270/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1099270,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1099270/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Je, ni sawa Sen. Murkomen kujadili mambo ambayo yako katika Supreme Court ? Yeye ni wakili kama mimi. Ninamheshimu sana kwa sababu najua kuwa yeye ni mtu shupavu. Hata hivyo, amevuka mpaka. Je, ni sawa kufanya hivyo? Kama si sawa, basi afadhali aache na kuendelea na mengine. Nilikuwa nataka kumuunga mkono kwa yale mengine yote aliyosema."
}