GET /api/v0.1/hansard/entries/1100315/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1100315,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1100315/?format=api",
    "text_counter": 252,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Hali ilivyo huko Laikipia ni ya kutatanisha zaidi. Maofisa wa polisi ambao wako upande huo wamefanya hali hiyo kuwa ngumu zaidi kuliko kurahisishia watu wa Laikipia kwa sababu wakati ng’ombe 1,000 wanauawa na askari wa Kenya, hiyo ni hali ngumu. Hali ya wafugaji wakati huu ni ngumu."
}