GET /api/v0.1/hansard/entries/1100316/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1100316,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1100316/?format=api",
"text_counter": 253,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Ng’ombe 5,000 ni kama Kshs200 milioni ambazo zimepotea. Hiyo ni pesa nyingi sana kwa wafugaji hasa wakati huu wa kiangazi. Mimi sijui askari wa Kenya wamefundishwa vipi. Wangesaidia wafugaji wakati huu lakini si kuua ng’ombe."
}