GET /api/v0.1/hansard/entries/1100318/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1100318,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1100318/?format=api",
    "text_counter": 255,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Hali ni kama ile ya Laikipia kwa sababu mifugo hawapati mahali pa malisho. Kupata maji pia ni vigumu kwa sababu kuna mradi wa Serikali kuhusu usalama wa lishe lakini ni ukora mtupu. Hii ni kwa sababu tukisema ni usalama wa lishe na hakuna kitu kinafanyika na watu hawawezi kuufikia mto kunywesha ng’ombe wao maji, basi itakuwa unamaliza watu na kutatanisha hali hiyo zaidi."
}