GET /api/v0.1/hansard/entries/1100320/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1100320,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1100320/?format=api",
    "text_counter": 257,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Wakati huu tunataka Waziri hasa afike hapa kwa Seneti. Ninaunga mkono wenzangu waliotangulia. Aje atueleze ni kipi kinachofanyika huko Laikipia. Katika arifa hiyo atueleze watu wa Tana River wanaweza kuufikia Mto Sabaki wapate maji yao na ya mifugo. Hatuwezi kupeleka mradi wa Serikali mahali ili watu wanaolisha upande huo wapate shida."
}