GET /api/v0.1/hansard/entries/110076/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 110076,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/110076/?format=api",
"text_counter": 410,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. K. Kilonzo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 172,
"legal_name": "Julius Kiema Kilonzo",
"slug": "kiema-kilonzo"
},
"content": "Kwa Hoja ya Nidhamu, Bw. Naibu wa Spika. Kwa heshima na taadhima zote kwa ndugu yangu, Bw. Haji, amesema kwamba kuna watu ambao wanaleta uhasama katika dini. Unajua jambo la dini hushika watu sana. Je, Bw. Haji anaweza kueleza ni watu gani wanaleta uhasama? Ikiwa hawapo, basi Bw. Haji akanushe matamshi yake ili tuendelee na mjadala huu."
}