GET /api/v0.1/hansard/entries/110189/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 110189,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/110189/?format=api",
"text_counter": 523,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, naomba niendelee kuchangia lakini kwa sababu wenzangu wanakerwa, naomba kwamba kipengele ambacho kinaruhusu vikundi vya usalama kama jeshi, polisi, maafisa wa magereza na vijana wa huduma za taifa wagome kiondolewe."
}