GET /api/v0.1/hansard/entries/1102184/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1102184,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1102184/?format=api",
"text_counter": 68,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Sen. Prengei alikuwa kijana shupavu na Seneta wa hali ya juu katika kushughulikia maswala yanayohusu watu wa jamii yake ya Ogiek. Hususan, alijibidiisha sana upande wa kutetea maswala ya haki upande wa mashamba ya watu wake."
}