GET /api/v0.1/hansard/entries/1103632/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1103632,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1103632/?format=api",
    "text_counter": 98,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Swala hili si la Nairobi pekee wala halijafanyika wakati huu pekee. Swala hili ni la kitaifa. Tuko na askari ambao wametumia nyadhifa zao kudhulumu wananchi. Ni muhimu sana tuanze kuangalia mfumo wa masomo ya askari wanapoenda katika chuo chao kule Kiganjo baada ya kuchukuliwa kama askari. Mfumo huo lazima unaangaliwe kwa ndani. Ni lazima tuangalie ni vipengele gani wanafunzwa wakiwa kule. Tuko na vipengele kama saikolojia. Askari wetu wako na shida za saikolojia. Ni lazima tuhakikishe kwamba masomo ya kisaikolojia imekita mizizi katika vyuo vya kufunza askari. Jambo la pili ni lazima tuangalie wanakaa aje katika kambi zao. Askari wengi wako na"
}