GET /api/v0.1/hansard/entries/1103634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1103634,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1103634/?format=api",
    "text_counter": 100,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nimeona nimewashiwa taa ya kuonyesha kwamba nafaa kuwa natimiza maongezi yangu. Ningependa kuomba tu dakika moja. Wacha nimalize kwa kusema kwamba ni lazima tunaangalie ni nini kinawasumbua askari wetu, na tuaangalie jinsi tunaweza kutatua swala hili kuhakikisha kwamba askari hawadhulumu wananchi wa nchi yetu. Bi. Spika wa Muda, ningependa kusema kwamba tuzidi kuhakikisha kwamba tumeweka hawa askari. Hata wakati wa maandamano baada ya kupiga kura, kuna watu wengi waliaga dunia na kudhulumiwa. Wafuasi wetu wa National Supper Alliance (NASA) waliaga dunia, lakini hakuna jambo ambalo limefanyika. Tungependa pia idara za Director of Public Prosecutions (DPP) na Independent Policing Oversight Authority (IPOA) ziangalie kwamba wale askari ambao wanakosa nidhamu katika utendakazi wao wana chukuliwa hatua iwezekanavyo."
}