GET /api/v0.1/hansard/entries/1103638/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1103638,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1103638/?format=api",
    "text_counter": 104,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Murkomen",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 440,
        "legal_name": "Onesimus Kipchumba Murkomen",
        "slug": "kipchumba-murkomen"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, nashukuru kwa nafasi ambayo umenipa. Nitaanza kwa risala za rambirambi kwa jama na marafiki wa Bw. Alex Macharia, ambaye kwa lugha ya kisasa tunasema kwamba ni hustler. Imekuwa jambo la kusikitisha sana kuona kwamba miaka baada ya kupitisha Katiba mpya, bado polisi wetu wanatumia nguvu kuumiza wananchi wa kawaida. Tunajua kwamba"
}