GET /api/v0.1/hansard/entries/1103670/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1103670,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1103670/?format=api",
    "text_counter": 136,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kuiba pesa. Hii ni kwa sababu kazi ya afya haina njia ya kuiba kupitia ujenzi. Wengi wao wanaiba pesa ya kununua dawa moja kwa moja kutoka akaunti ya kaunti. Sen. Sakaja ameleta taarifa nzuri sana. Ningependa nimkumbushe siku ile nilikuwa hapa katika Meza hii ya Siwa nikisema kwamba serikali ya kaunti haiwezi kuendeshwa na mwanajeshi. Hakuna uwajibikaji katika serikali ambayo haiendeshwi na raia. Kaunti inanunua vitu bila kuzingatia sheria za ununuzi. Ni nani atamjibu Sen. Sakaja? Hatuwezi kuleta mwanajeshi kukaa katika Chumba hiki. Gavana wa Kaunti ya Jiji la Nairobi anashughulikia mambo ya ununuzi na kuhakikisha hospitali zinaendelea. Anawezaje kuletwa hapa---"
}