GET /api/v0.1/hansard/entries/1103676/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1103676,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1103676/?format=api",
    "text_counter": 142,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Murkomen",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 440,
        "legal_name": "Onesimus Kipchumba Murkomen",
        "slug": "kipchumba-murkomen"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, unajua kwamba kaunti ya Jiji la Nairobi inasimamiwa na meja jenerari wa jeshi la taifa la Kenya. Si kwamba amestaafu bali sasa hivi ni meja jenerari. Tulipoambiwa kuwa kaunti ya Jiji la Nairobi imewekwa kuongozwa na meja jenerari nilileta taarifa hapa nikauliza, “inawezekanaje tulete wanajeshi wetu ambao wanaheshimika dunia nzima waingie katika nyanja za siasa na kufanya mambo ya executive na kusimamia ununuzi?”"
}