GET /api/v0.1/hansard/entries/1103686/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1103686,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1103686/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Murkomen",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 440,
"legal_name": "Onesimus Kipchumba Murkomen",
"slug": "kipchumba-murkomen"
},
"content": "Bi. Spika wa muda, ingekuwa Maj. Gen. Badi ni mwanajeshi mstaafu, ingekuwa rahisi sana kwake kufanya kazi za raia wa kawaida. Lazima tuwaheshimu wanajeshi wetu kwa kuwaondoa katika siasa kama hali ilivyo hapa Kaunti ya Nairobi. Natumaini kuwa katika miaka ijayo, hatutakumbwa na shida iliyoko katika Hospitali ya Mbagathi hivi sasa. Natumaini kuwa Kamati ya Afya inasikiliza mapendekezo yetu na itayashughulikia."
}