GET /api/v0.1/hansard/entries/1103688/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1103688,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1103688/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Murkomen",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 440,
"legal_name": "Onesimus Kipchumba Murkomen",
"slug": "kipchumba-murkomen"
},
"content": "Sen. (Dr.) Ali, alikuwa na cheo wakati mmoja katika Kamati ya Afya. Alikuwa Naibu Mwanyekiti wa Kamati ya Afya wakati nilikuwa kiongozi wa walio wengi hapa Seneti. Sasa hivi Sen. (Dr.) Ali ni mwanakamati wa kawaida tu. Naomba Kamati ya Afya na kamati zinginezo zihakikishe kwamba watu wote wanawajibika. Ni lazima Kamati ya Afya ihakikishe kwamba kaunti zote zina zingatia afya kikamilifu ili kuendeleza taifa letu."
}