GET /api/v0.1/hansard/entries/110561/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 110561,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/110561/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Shaban",
"speaker_title": "The Minister for Special Programmes",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Mheshimiwa Spika, ningependa kuzungumza juu ya swala hili ambalo limetatiza akina mama wote nchini Kenya. Inaonekana ya kwamba, waandishi wa magazeti, ijapokuwa wamepatiwa uhuru wa kuandika na kuonyesha vile maswala ya Kenya yanavyoendelea, hawaheshimu akina mama Kenya hii, hawaheshimu watoto wao wa kike, wala hawaheshimu dada zao. Kwa hivyo, uhuru tumewapatia wawe wakiwatukana akina mama ambao ni Wabunge. Sisi ni Wabunge ambao tuna haki kama Wabunge wengine wote."
}