GET /api/v0.1/hansard/entries/1105805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1105805,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1105805/?format=api",
    "text_counter": 49,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante Sana, Bw. Spika wa muda. Najiunga na wenzangu kwa yote waliyoyasema. Hivi majuzi, Sen. Olekina aliuliza swali kuhusu ndugu zetu wa Bara la Asia ambao wamekuwa wakiingia nchini kwa wingi mpaka kukawa na tashwishi ya kwamba pengine kutakuwa na mtafaruku wa amani. Swala alilouliza Sen. Olekina"
}