GET /api/v0.1/hansard/entries/1106317/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1106317,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1106317/?format=api",
    "text_counter": 206,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, FORD-K",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Nasri Ibrahim",
    "speaker": {
        "id": 13173,
        "legal_name": "Nasri Sahal Ibrahim",
        "slug": "nasri-sahal-ibrahim"
    },
    "content": " Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii kuchangia Mswada huu wa vijana. Ni huzuni sana kuona vijana wetu ambao ni wasomi wakitangatanga na kurandaranda mijini. Watoto hao walisomeshwa na wazazi wao kwa hali ngumu sana ya kulipa karo na inasikitisha sana kuona hawana kazi. Hivi juzi, nikiwa Eastleigh niliona watoto ambao wanafanya biashara. Wanajitafutia pesa na kufungua maduka. Mwishowe wanasumbuliwa na Kenya Revenue Authority (KRA) kwa sababu ya ukusanyaji wa ushuru, na City Council . Unyanyasaji huo unafanya roho za vijana ziharibike na wanaweza kufanya uhalifu. Baadaye, tutasema kuwa vijana wa Kenya wameharibika na kuwa wahalifu. Unyanyasaji huo ndiyo huchangia. Jingine…"
}