GET /api/v0.1/hansard/entries/1106323/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1106323,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1106323/?format=api",
"text_counter": 212,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, FORD-K",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Nasri Ibrahim",
"speaker": {
"id": 13173,
"legal_name": "Nasri Sahal Ibrahim",
"slug": "nasri-sahal-ibrahim"
},
"content": " Tunafanya roho za watoto wetu ziharibike ili wasifanye biashara. Tunawavunja watoto roho kwa kuwafanya kwenda kwenye maofisi kila siku wakibeba vyeti wakitafuta kazi. Ningependa kusema ni sharti vijana wetu waachwe wafanye biashara. Kama wanaeza pata pesa kidogo, wataweza kujitengenezea biashara. Jingine ni kuwambia vijana watafute vyeti vya mwendo mzuri na mkopo? Hayo mambo yameharibu watoto kwa sababu hawana pesa za kulipia vyeti hivyo. Nataka kusema naunga mkono Mswada huu na hongera kwa Mheshimiwa Keter. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}