GET /api/v0.1/hansard/entries/1106402/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1106402,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1106402/?format=api",
"text_counter": 29,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Kwa hivyo, kuanzia leo, utasahau kabila lako, iwe ni Ndorobo, Ogiek ama zile kabila ndogo ambazo hazikubaliwi, hata wale Washona, utakuwa akiwazungumzia hapa kwa sababu ni kitengo ambacho utakua ukizungunzia, pamoja na vijana wengi walio hapa, kama Sen. Cherargei, Sen. Abdul M. Haji, na wengine wengi ambao utakutana nao katika hafla hii."
}