GET /api/v0.1/hansard/entries/1106403/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1106403,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1106403/?format=api",
    "text_counter": 30,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jr.",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13156,
        "legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
        "slug": "mutula-kilonzo-jnr"
    },
    "content": "Siku ambazo zimebakia ni chache. Tafuta sauti yako. Kesho tunataka kusikia ukizungumzia vijana na ukisema jambo ambalo litawasaidia. Hii ni kwa sababu katika siasa zinazoendelea sasa, wale watu ambao wanaumia ni vijana. Tumefurahi kwamba umekula kiapo leo, na umekuja na familia na watu ambao wameshuhudia ukila kiapo kwamba utafanya kazi yako na kuitetea kulingana na Katiba."
}