GET /api/v0.1/hansard/entries/1108249/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1108249,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1108249/?format=api",
"text_counter": 149,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bi, Naibu Spika. Langu ni kuwa ulimwambia Sen. (Dkt.) Langat kuwa maneno hayo si mazuri na ayaondoe ndio yaondolewe katika rekodi zetu. Lakini, yeye alikuambia asante na akaendelea kuongea. Ni vizuri umkumbushe ayaondoe matamshi hayo."
}