GET /api/v0.1/hansard/entries/1108313/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1108313,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1108313/?format=api",
    "text_counter": 213,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, Public Private Partnership kwa Kiswahili ni Ushirikiano wa Umma na Waekezaji wa Kibinafsi. Tunajua kuwa lugha ya Kiswahili inakuwa. Nafurahi kuwa uko hapo na utasaidia pakubwa kuweza kuendeleza matumizi ya lugha ya Kiswahili katika Bunge hili. Lakini pia ningeomba Bunge liajiri mtaalamu mmoja wa lugha ya Kiswahili ili mambo kama haya yaweze kutafsiriwa ili iwe rahisi zaidi kwa wale Wabunge wanaotaka kuongea kwa lugha ya Kiswahili. Asante Mhe. Spika."
}