GET /api/v0.1/hansard/entries/1108335/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1108335,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1108335/?format=api",
    "text_counter": 235,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa kongole. Ningependa kumpongeza Seneta mteule, Sen. Nyamunga, kwa kupewa shahada hiyo sawa na mimi. Ninashukuru Bunge la Seneti kwa sababu lisingekuwa Bunge hili, pengine hatungezawadiwa medali hizi ya CBS. Bi. Spika wa Muda, Mswada huu wa Ushirikiano wa Umma na Wafanyibiashara Binafsi ni muhimu sana."
}