GET /api/v0.1/hansard/entries/1109056/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1109056,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1109056/?format=api",
    "text_counter": 19,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii kujiunga na wewe kuwakaribisha Wabumbe wa Bunge la Kaunti ya Nandi wa Kamati ya Ajira na Huduma za Jamii. Mhe. Spika katika Bunge hili la Seneti kuna mafunzo mengi ambayo Wabunge wezentu wa Bunge la Kaunti ya Nandi wanaweza kupata hapa ili kuongeza ujuzi na tajiriba katika kazi zao kama Wabunge wa Bunge la Kaunti ya Nandi."
}