GET /api/v0.1/hansard/entries/1109058/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1109058,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1109058/?format=api",
"text_counter": 21,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mhe. Spika, hii ni fursa adimu ambayo Wabunge hawa wamepata leo na tunatarajia kwamba watakaporudi Nandi wataweza kutumia ule ujuzi ambao wameweza kupata kuweza kutekeleza majukumu yao kwa njia ambayo ni ya hali ya juu na ya kitaalamu kabisa. Asante, Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii."
}