GET /api/v0.1/hansard/entries/1109297/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1109297,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1109297/?format=api",
"text_counter": 260,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Ahsante, Mheshimiwa Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Maseneta ambao wamechaguliwa kujiunga na Kamati ya Ugatuzi na Mahusiano Kati ya kiserikali za Kaunti na Serikali Kuu na pia wale ambao waliochaguliwa hivi karibu, tunawakaribisha kwa Bunge hili. Tunatoa wito kwao waweze kukaa katika Bunge hili na kuendeleza mambo ya ugatuzi. Kwa hakika hakuna njia nyingine ambayo mtu anaweza kufanya kazi yake iwe mzuri zaidi sababu ugatuzi vile ulivyonakiliwa ndani ya katiba ya sasa. Kwa wale waliopata fursa kutekeleza mambo ya ugatuzi wamepata bahati kubwa haswa kukaa katika Seneti."
}