GET /api/v0.1/hansard/entries/1109299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1109299,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1109299/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Kazi yao haitakamilika bila kufanya kazi ya ugatuzi. Wao wamewekwa katika Kamati hiyo ya Ugatuzi na Mahusiano Kati ya Serikali za Kaunti na Serikali Kuu na ni nafasi mwafaka ambayo wanaweza kufanya kazi hiyo ili waweze kujua vile watakavyoendesha kaunti zao na pia wafanye kazi na magavana katika kaunti zao. Kwa siku ya leo, vile tumepitisha Hoja hii wajiunge na Kamati hiyo kama wataweza basi kazi ya ugatuzi itaenda mbele. Mimi natoa wito kwao waweze kukaa katika Kamati hii na waendeleze shughuli za ugatuzi. Ninaunga mkono, Mheshimiwa Spika wa Muda. Asante."
}