GET /api/v0.1/hansard/entries/1109488/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1109488,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1109488/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Rabai, ODM",
"speaker_title": "Hon. William Mwamkale",
"speaker": {
"id": 2672,
"legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
"slug": "william-kamoti-mwamkale"
},
"content": " Asante, Mhe. Naibu Spika. Hii ni Ombi muhimu na imefika wakati wake. Lazima Serikali iwajibike isifilisishe wananchi wake. Lazima serikali za kaunti pia ziwajibike. Watu wanachukua mikopo na vitu vyao vinanadiwa. Baadaye hawalipwi na inakuwa Serikali ndio inafilisisha watu wake. Hii ni mbaya. Serikali lazima ijipange. Kabla haijafanyiwa kazi, iwe na pesa. Waige mfano wa CDF. Pesa inatengwa ndio kazi ifanyike. Sio watoe kazi na pesa hawana."
}