GET /api/v0.1/hansard/entries/1111201/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1111201,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1111201/?format=api",
    "text_counter": 288,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": " Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii pia niunge mkono na haswa kusifu kazi nzuri ambayo imefanyika. Mkataba huu hakika ni wa kuendeleza usafiri haswa kwa vyakula vyetu, maua na haswa kuboresha hali ya uchumi wa ukulima hapa Nchini."
}