GET /api/v0.1/hansard/entries/1111202/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1111202,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1111202/?format=api",
"text_counter": 289,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Kutoka hapa kuelekea Marekani ni mbali na kwa sababu ni mbali, mimea au vyakula vinavyopatikana ama maua yanayovunwa hapa Kenya yanajulikana ulimwengu mzima lakini usafiri kweka Marekani ni shida kwa wakulima ambao wanashgulika na kilimo biashara kupata haki ya jasho lao na haswa kwa sababu sekta hiyo inaandika wafanyikazi wengi hapa nchini."
}