GET /api/v0.1/hansard/entries/1111204/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1111204,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1111204/?format=api",
    "text_counter": 291,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Safari ndefu huanza na hatua chache na safari hii ni safari hakika ni ya kuungwa mkono. Tunaunga mkono Mkataba huu. Tunatakia uhusiano wetu wa Kenya na Serikali ya Marekani kuendelea kuwa na nguvu Zaidi."
}