GET /api/v0.1/hansard/entries/1111397/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1111397,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1111397/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ikiwa walimu wa shule za chekechea hatutawaheshimiwa; ikiwa mwalimu wa shule ya chekechea atakuwa hajui kama leo anafundisha na kesho kazi yake itakuwa imekwisha, itakuwa hatuangalii siku za usoni. Bw. Spika, nitamalizia nikisema ni lazima zile ari za walimu wa chekechea zitekelezwe. Kamati ambayo itahusika na malalamishi haya yaliyoletwa na walimu kutoka Kericho, wasiangalie Kericho, bali tuweke mikakati kisawa sawa ambayo itaweza kuangalia walimu wote wa shule wanavyofundisha shule za chekechea katika nchi yetu ya Kenya. Asante, Bw. Spika."
}