GET /api/v0.1/hansard/entries/1111780/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1111780,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1111780/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kunipa fursa hii ili niweze kuchangia Taarifa hii ambayo imesomwa na Sen. Dullo. Tatizo kubwa hapa Kenya sasa ni ukosefu wa vitambulisho. Watoto wengi ambao wamemaliza shule miaka iliyopita, wengi hawana vitambulisho. Mimi mwenyewe"
}