GET /api/v0.1/hansard/entries/1112157/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1112157,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1112157/?format=api",
    "text_counter": 93,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "La pili, nataka kuunga mkono ombi la Mhe. Mwashetani. Kuna matatizo makubwa na hivi visiwa. Visiwa vimekuwa hapo kwa karne nyingi, kama vile Kisiwa cha Kiwayu. Kisha watu wa KWS wanakuja wanasema ni marine . Watu wamekaa hapo miaka yote. Haya mambo yanafaa kuangaliwa. Hiyo shida inatokea huko kwa Mhe. Mwashetani pia iko Lamu. Naomba hili Bunge, tafadhali, kama kutakuwa kuna muda, tufanye hizi shida ziondoke. Watu wakae huko miaka yote kisha ghafla, title zije zitolewe na hatujawapangia tunawapeleka wapi na tukiwapeleka huko tunakotaka kuwapeleka, watakaa vipi na wamezoea kuwa hapo siku zote? Ah,sante, Mhe. Spika."
}