GET /api/v0.1/hansard/entries/1112642/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1112642,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1112642/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Asante Bi Spika kwa kunipatia fursa hii. Suala la pending bills limekuwa dondasugu katika serikali za kaunti, hasa katika kaunti ambayo ninawakilisha hapa. Kila kona ya nchi hii, wananchi wazungumza juu ya pending bills . Kutolipwa kwa hizi pending bills kufanya watu wetu kuwa katika hali ya umaskini na ufukara."
}