GET /api/v0.1/hansard/entries/1112643/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1112643,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1112643/?format=api",
    "text_counter": 129,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Watu wengi walijidhamini na kuweka pesa nyingi katika miradi ya Serikali, lakini hawajui watalipwa lini. Sisi kama Maseneta wakati tunapozuru kaunti zetu, watu wengi ambao walifanya kandarasi ya Serikali wanatufatilia nyumbani wakisema ya kwamba, hali yao imedorora kabisa. Watoto wao hawaendi shule na umaskini umeongezeka."
}