GET /api/v0.1/hansard/entries/1112646/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1112646,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1112646/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Kuna wakati Bw. Ukur Yatani. Waziri wa Fedha, alisema pesa hizi zitalipwa na akatuma barua kwa kaunti zetu. Pesa zinafika kaunti zetu lakini watu hawalipwi. Ukiangalia nyuso za hawa watu zinaonyesha watu wanaoishi katika hali ngumu ya maisha."
}