GET /api/v0.1/hansard/entries/1112647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1112647,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1112647/?format=api",
    "text_counter": 133,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, jambo hili linafaa kuchukuliwa kwa uzito na Serikali ya Kitaifa na serikali za kaunti. Ni lazima watueleze ni kwa sababu gani watu ambao walifanya kandarasi za Serikali hawajawahi kulipwa. Magavana waeleze ni kwa sababu gani watu hawalipwi pesa zao na ilhali kila mwaka pesa hupelekwa katika kaunti zetu zote."
}