GET /api/v0.1/hansard/entries/1114523/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1114523,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1114523/?format=api",
"text_counter": 670,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Asante, Naibu Mwenyekiti wa Muda. Ninaunga mkono Lamu, Tana River na Kwale angalau nao wawe na mwakilishi wao. Hayo mengine tunangojea. Mambo ya makao makuu kuwekwa mbali na Lamu, kwetu tunasema ni mbali sana maana usafiri utakuwa mgumu. Tunangojea hiyo ili tubadilishe."
}