GET /api/v0.1/hansard/entries/1114991/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1114991,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1114991/?format=api",
    "text_counter": 75,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Kwa ufupi, ningependa kamati iwezeka kuenda Likoni haraka iwezekanavyo na kutoa uamuzi kuwa wananchi hao waendelee kukaa hapo kwa sababu ni kwao. Vile vile, seheme ya Aldina kule kwangu Jomvu tuweze kuwapa watu wale hati miliki. Huyu anayeitwa Mahesh, atafute Serikali iliwa discuss na kujua watafanya vipi, lakini aachane na watu wa Mwananguvuze. Asante Mhe. Spika, namuunga mkono Mhe.Mishi."
}