GET /api/v0.1/hansard/entries/1115533/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1115533,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1115533/?format=api",
    "text_counter": 214,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "(SGR), yaani Railway Levy Development Fund, tangu ianzishwe? (ii) Tunaomba Waziri aelezee fedha hizi zimetumika kufanya nini na kutoa mpangilio ama ratiba ya kila amana iliyoweza kutumika na kwa njia gani? (iii)Nataka Waziri atuelezee ni idadi ipi katika pesa hizi ambayo imeweza kutumika kulipa deni la wenyewe? (iv) Wana mikakati gani kama Wizara ya Fedha ya kurejesha fedha hizi ili ziweze kutumiwa kwa njia iliyokusudiwa wakati sheria hii iliundwa?"
}